Mkuu wa mkoa kigoma 2019

Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Home Unlabelled Wakuu wa Wilaya ya Kigoma wala kiapo. Wakuu wa Wilaya ya Kigoma wala kiapo.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Brigedia Jeneral Mstaafu Emanuel Maganga,amewaagiza wakuu wapya wa Wilaya mkoani humo kwenda kusimamia miradi mbalimbali ya huduma za jamii na kutatua kero zao zinazowakabili wananchi katika maeneo yao. Ametoa agizo hilo muda mfupi baada ya kuwaapisha Wakuu wa Wilaya sita walioteuliwa na Rais John Magufuli,ambapo Mkuu huyo wa Mkoa amewataka Wakuu hao wa Wilaya kutoa kipaumbele katika kutenga maeneo kwa ajili ya wananchi watakaondolewa katika maeneo ya hifadhi hasa wafugaji.

Masuala mengine ambayo Mkuu huyo wa Mkoa amewaagiza Wakuu wa Wilaya ,ni kusimamia kero za mda mrefu zinazo wakabili wananchi hao kama maji,usambazaji wa pembejeo pamoja na rushwa. Wakiongea mara baada ya kula kiapo,Wakuu wapya wa Wilaya wameahidi kuendeleza yote yaliyoanzishwa na Rais John Magufuli ambayo ni kuwapigania wananchi wanyonge na maskini na kuhakikisha maendeleo tarajiwa yanapatikana. Mkuu wa wilaya ya Uvinza Bi. Mshirikishe mwenzako:.

Mega sync mac

Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Subscribe to: Post Comments Atom.Thursday, January 9, RC Wangabo aanza na watumishi ofisini kwake kuwataka kutojihusisha na siasa.

Thursday, December 19, Hospitali za Wilaya 67 zafanyiwa tathmini juu ya maenedeleo ya ujenzi wake. Alisema kuwa serikali ya awamu ya tano imejenga hospitali 67 nchini na mkoa wa Rukwa umejengewa hospitali tatu za wilaya ambapo Mhandisi Nyamuhanga aliweza kutembelea na kujionea maendeleo ya ujenzi wa hospitali ya Wilaya ya Kalamnbo, katika mji mdogo wa Matai iliyopokea shilingi Bilioni 1.

Ameongeza kuwa halmashauri hiyo ya Kalambo imetaja mahitaji ya shilingi milioni ili kuweza kukamilisha ujenzi wa hospitali hiyo jambo ambalo Mhandisi Nyamuhanga hakukubaliana nalo kutokana na tathmini iliyofanywa ya mahitaji ya fedha walizotoa kwa ajili ya ujenzi wa hospitali hizo kuwa yangebaki mambo machache ambayo yasingeweza kuzidi shilingi milioni na kuongeza kuwa anahitaji maelezo ya ziada kutoka katika halmashauri hiyo ambayo hospitali yake imefikia ukamilifu wa asilimia 76 ambacho ni kiwango cha chini cha ukamilishaji.

mkuu wa mkoa kigoma 2019

Katika hatua nyingine amesema kuwa mwezi Aprili mwaka Ofisi ya Rais TAMISEMI ilitoa shilingi milioni kwaajili ya upanuzi wa Zahanati ya Kijiji cha Samazi katika halmashauri ya Wilaya ya Kalambo ambapo zahanati hiyo inapandishwa hadhi na kuwa kituo cha Afya lakini amesikitishwa na malumbano yanayoendelea katika kijiji hicho juu ya eneo la ujenzi wa kituo hicho jambo lililopelekea kushindwa kuanza kwa ujenzi huo. Mhandisi Nyamuhanga apongeza kituo cha afya Mazwi Sumbawanga.

Amesema kuwa kabla ya hapo kituo hicho kilikuwa kidogo sana na kushindwa hata kutoa huduma za upasuaji jambo ambalo lilipelekea hospitali ya rufaa ya mkoa kuzidiwa na wagonjwa lakini hali hiyo kwa sasa ni tofauti baada ya upanuzi wa kituo hicho ambacho kutokana na huduma zake wateja wengi huvutiwa kufika na kupata huduma. Amesema kuwa serikali inatoa fedha nyingi kupata dawa pamoja na vifaa tiba hivyo kinachotegemewa katika kituo hicho ni huduma bora ya afya na kuongeza kuwa serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt.

John Pombe Magufuli imejenga vituo vya afya zaidi ya ambapo mojawapo ya vituo hivyo ni kituo cha afya cha Mazwi katika Makispaa ya Sumbawanga ambapo walipatiwa shilingi milioni na sasa kituo hicho kimekamilika na kuanza kutoa huduma.

Indian bamboo flute

Archie Hellar alisema kuwa kuanzia mwezi Januari hadi Novemba kituo hicho cha afya kimezalisha wajawazito 4, na kati ya hao waliofanyiwa upasuaji ni wajawazito na kupatikana vifo viwili kutokana na sababu zilizokuwa nje ya uwezo katika harakati za kuwafanyia wajawazito hao upasuaji. Halmashauri ya Manispaa ya Sumbawanga ilipata shilingi milioni za kupanua ujenzi wa kituo cha Afya cha Mazwi pamoja na kupewa shilingi milioni kwaajili ya ujenzi wa kituo cha Afya kipya kilichopo katika kata ya Katumba azimio ikiwa ni kilometa 12 kutoka katika kituo cha afya cha Mazwi.

Friday, December 6, Utoro, Uvivu na kutoshirikisha wazazi kwatajwa kuwa kikwazo cha ufaulu Rukwa. Pamoja na ufaulu wa matokeo ya darasa la saba kupanda kwa asilimia 8. Hayo yalianza kusemwa na Afisa Elimu Mkoa wa Rukwa Nestory Mloka baada ya kutoa taarifa ya matokeo ya mtihani wa kumaliza elimu ya msingi mwaka pamoja na taarifa ya uchaguzi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza mwaka katika Mkoa huo.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZUNGUMZA NA WANA CCM WILAYA ZA KIGOMA MJINI NA KIGOMA VIJIJINI

Aidha, Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga Apolinary Macheta alisema kuwa shule ambazo waalimu hawana mahusiano na wazazi kitaaluma, shule hizo daima huwa chini sana kitaaluma na kuongeza kuwa waaalimu wanahitajika kufanya vikao na wazazi ili kutambua changamoto mbalimbali za shule na kuweza kushirikiana kuzitatua. Ambapo katika kuunga mkono jambo hilo mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga John Msemakweli amezitupia lawama bodi za shule kushindwa kutatua matatizo ya utoro wa wanafunzi, waalimu pamoja na kuona namna ya wanafunzi hao kupata chakula mashuleni ili kuweza kuongeza ufaulu kwakuwa wanafunzi hao hushinda njaa jambo linalowafanya kushindwa kuwa makini na masomo.

Katika kulitafutia mwarobaini suala hilo la chakula masuleni mwalimu mkuu wa shule ya sekondari Mazwi Godson Mwaibingila ameuomba uongozi wa mkoa kutoa maelekezo kwa halmashauri ili suala hilo la chakula liwekwe katika sheria ndogo za halmashauri na kuweza kuwalazimisha wazazi kuchangia chakula katika shule za msingi na sekondari ndani ya mkoa. Aidha, Diwani wa Kata ya Chala, Wilayani Nkasi Michael Mwanalinze alisema kuwa sera ya elimu bure itolewe kwa upana wake ili kuhakikisha wazazi wanaielewa, tofauti na hali ilivyosasa kuwa wazazi hawachangii chochote wakisema kuwa elimu ni bure na kuonya kuwa endapo hali hiyo itaendelea basi ufaulu utaendelea kushuka.

Kwa upande wake kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Rukwa Winnie Kijazi aliwataka viongozi hao kuhakikisha wanashughulikia matatizo hayo kwani yapo chini ya mamlaka yao kama halmashauri pamoja na mabaraza yao na kuongeza kuwa mkoa umekuwa ukitoa ushirikiano katika kuhakikisha wanafunzi wanaodhulumu haki za kusoma za wanafunzi wanafikishwa katika vyombo husika kwa taratibu za kisheria. Jumla ya Watahiniwa 16, sawa na asilimia Huku ufaulu huo ukipanda kwa asilimia 8.Home About Contact Us.

MKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya ushirika kutoingia katika uongozi huo kwa lengo la kujinufaisha kwa watakaobainika kufanya hivyo watachukuliwa hatua za kinidhamu haraka. Maganga ameyasema hayo Mkoani hapo, wakati akikabidhi kadi za Mfuko wa bima ya afya NHIF kwa wanachama wa vyama vya ushirika kwenye mkutano mkuu wa jukwaa la maendeleo ya ushirika. Alisema kuwa kuchezea vyama vya ushiriika kwa Tanzania ya sasa ni kama kuchezea umeme kwa kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa papo hapo.

Awali akibidhi vitambulisho kwa viongozi wa vyama vya ushirika kwa niaba ya wanachama wao alisema, enzi za nyuma matibabu yalitolewa bure lakini kwa sasa matibabu yanalipiwa hivyo kuwa na kadi ya Bima ya afya unakuwa na uhakika wa matibabu hata kama hauna pesa mfukoni taslimu pale unapougua.

How to install windows 7 in dell vostro 3670

Kasimu Majaliwa Kasimu mwaka jana alizindua utaratibu wa wakulima wanaolima mazao ya kimkakati kama korosho,tumbaku,kahawa na mengine ambao wapo kwenye vyama vya ushirika kujiunga na mfuko wa bima ya afya kupitia ushirika afya. Alisema wameanza na kundi la vyama vya ushirika ili kuhakikisha kuwa wananchi wanajihusisha na kilimo cha mazao ya kimkakati nchini wanafikiwa na huduma za mfuko.

Katerangabo alisema kuwa wanachama wa vyama vya ushirika watakapo jiunga na huduma za mfuko na wategemezi wao ambao ni waume, wake, watoto, wazazi pamoja na wakwe nao pia watanufaika na huduma.

Alisema kundi la wakulima ni kubwa ukiangalia Mikoa yote ya Tanzania inayolima mazao kwa kupitia utaratibu waushirika hivyo watanzania walio wengi watafikiwa na huduma za mfuko. Akizungumzia suala la malalamiko ambayo yamekua yakijitokeza kwa wanachama wa mfuko huo kuhusu kusumbuliwa wakati wa kupatiwa matibabu alisema, mfuko huo umeweka waratibu kila Wilaya kuwa na mratibu ili kuratibu changamoto zinazojitokeza kwa wanachama wao na kuzipatia ufumbuzi kwa wakati.

Alisema wakulima wa zao la tumbaku kwa Mkoa wa Kigoma wameonyesha muitikio mzuri wa kujiunga na mfuko mpaka sasa jumla ya wanachama wamejiunga na mfuko huo huku wanachama wakikabidhiwa kadi zao anaamini baada ya hapo idadi ya wakulima kujiunga ushirika afya itaongezeka. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emanuel Maganga akimkabidhi vitambulisho vya bima afya vya ushirika afya mmoja wa viongozi wa wanachama wa ushirika katika mkutano mkuu wa jukwaa la maendeleo ya ushirika.

Wajumbe wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo. Wajumbe wa mkutano mkuu wa vyama vya ushirika waliohudhuria mkutano mkuu wa jukwaa la maendeleo ya ushirika kwenye ukumbi wa NSSF Kigoma mjini. No comments. Subscribe to: Post Comments Atom.

Follow by Email. Powered by Blogger.Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Na Editha Karlo wa michuzi Tv,Kigoma. MKUU wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ametoa wito kwa viongozi wa vyama vya ushirika kutoingia katika uongozi huo kwa lengo la kujinufaisha kwa watakaobainika kufanya hivyo watachukuliwa hatua za kinidhamu haraka.

Maganga ameyasema hayo Mkoani hapo, wakati akikabidhi kadi za Mfuko wa bima ya afya NHIF kwa wanachama wa vyama vya ushirika kwenye mkutano mkuu wa jukwaa la maendeleo ya ushirika. Alisema kuwa kuchezea vyama vya ushiriika kwa Tanzania ya sasa ni kama kuchezea umeme kwa kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa papo hapo. Awali akibidhi vitambulisho kwa viongozi wa vyama vya ushirika kwa niaba ya wanachama wao alisema, enzi za nyuma matibabu yalitolewa bure lakini kwa sasa matibabu yanalipiwa hivyo kuwa na kadi ya Bima ya afya unakuwa na uhakika wa matibabu hata kama hauna pesa mfukoni taslimu pale unapougua.

Kasimu Majaliwa Kasimu mwaka jana alizindua utaratibu wa wakulima wanaolima mazao ya kimkakati kama korosho,tumbaku,kahawa na mengine ambao wapo kwenye vyama vya ushirika kujiunga na mfuko wa bima ya afya kupitia ushirika afya. Alisema wameanza na kundi la vyama vya ushirika ili kuhakikisha kuwa wananchi wanajihusisha na kilimo cha mazao ya kimkakati nchini wanafikiwa na huduma za mfuko.

Katerangabo alisema kuwa wanachama wa vyama vya ushirika watakapo jiunga na huduma za mfuko na wategemezi wao ambao ni waume, wake, watoto, wazazi pamoja na wakwe nao pia watanufaika na huduma. Alisema kundi la wakulima ni kubwa ukiangalia Mikoa yote ya Tanzania inayolima mazao kwa kupitia utaratibu waushirika hivyo watanzania walio wengi watafikiwa na huduma za mfuko.

mkuu wa mkoa kigoma 2019

Akizungumzia suala la malalamiko ambayo yamekua yakijitokeza kwa wanachama wa mfuko huo kuhusu kusumbuliwa wakati wa kupatiwa matibabu alisema, mfuko huo umeweka waratibu kila Wilaya kuwa na mratibu ili kuratibu changamoto zinazojitokeza kwa wanachama wao na kuzipatia ufumbuzi kwa wakati. Alisema wakulima wa zao la tumbaku kwa Mkoa wa Kigoma wameonyesha muitikio mzuri wa kujiunga na mfuko mpaka sasa jumla ya wanachama wamejiunga na mfuko huo huku wanachama wakikabidhiwa kadi zao anaamini baada ya hapo idadi ya wakulima kujiunga ushirika afya itaongezeka.

MKUU WA MKOA KIGOMA AWATAKA VIONGOZI WA VYAMA VYA USHIRIKA KUTOJINUFAISHA

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali mstaafu Emanuel Maganga akimkabidhi vitambulisho vya bima afya vya ushirika afya mmoja wa viongozi wa wanachama wa ushirika katika mkutano mkuu wa jukwaa la maendeleo ya ushirika.

Wajumbe wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri kwenye mkutano huo. Wajumbe wa mkutano mkuu wa vyama vya ushirika waliohudhuria mkutano mkuu wa jukwaa la maendeleo ya ushirika kwenye ukumbi wa NSSF Kigoma mjini. Mshirikishe mwenzako:.

Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

Subscribe to: Post Comments Atom.Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide.

mkuu wa mkoa kigoma 2019

Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers. Kuwa mstaarabu Mtendaji Mkuu, Mahakama ya Tanzania, Bw. Husssein Kattanga amefanya ziara mkoani Kigoma na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Jengo la Mahakama Kuu lililoanza kujengwa rasmi tarehe Oktoba 28, chini ya mkandarasi Masasi Construction Co Ltd.

Ujenzi huo wa Jengo la Mahakama Kuu utasogeza huduma za Kimahakama karibu na wananchi wa Mkoa huo kwani wamekuwa wakisafiri kutoka Kigoma kwenda Tabora kufuata huduma za Mahakama Kuu.

Aidha ujenzi wa jingo hilo la Mahakama na unaotarajiwa kukamilika mwezi Juni utawezesha uhifadhi wa kumbukumbu na nyaraka mbalimbali na kuimarisha matumizi ya vifaa vya TEHAMA katika huduma ya utoaji haki. Hali ya jengo la Mahakama kuu kanda ya Kigoma lilipofikia. Leonard Magacha. Mtendaji Mkuu wa Mahakama, Bw Hussein Kattanga wa kwanza kulia akikagua kiwanja kinachotarajiwa kujengwa Mahakama ya Wilaya Buhigwe ikiwa ni muendelezo wa kusogeza huduma kwa wananchi mkoani Kigoma.

Mtendaji Mkuu wa Mahakama Bw.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AWASILI KIGOMA

Hussein Kattanga akitoa maelekezo alipotembelea ujenzi wa Mahakama ya Wilaya Kasulu mkoani Kigoma katika ziara yake aliyofanya Wilayani humo Agosti, 08, Picha na Festo Sanga, Kigoma. Mshirikishe mwenzako:.

Michuzi Blog Tanzanian blog operating sincecovering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Subscribe to: Post Comments Atom.Kongamano lina lengo la kuwakutanisha wafanyabiashara wa Mkoa wa Kigoma na Tanzania kwa ujumla na wafanyabiashara wa nchi jirani za Burundi, DRC Kongo, Zambia, na Rwanda ili kwa pamoja kujadili na kuafiki namna ya kukuza biashara na uwekezaji kutokana na fursa zilizopo ndani ya nchi hizi hususan kwenye sekta za viwanda, kilimo, mifugo, uvuvi, usafirishaji na biashara kwa ujumla.

Kongamano hili litaleta manufaa mengi kwa Mkoa,Washiriki na Nchi kwa ujumla ikiwemo Kutangaza fursa za biashara na uwekezaji baina ya nchi majirani.

DIAMOND Alivyozindua MSIKITI Wake KIGOMA, JIONEE HAPA...

Kuimarisha biashara za mipakani. Kujenga mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji baina ya nchi majirani. Kujenga muingiliano wa wajasiriamali na wawekezaji au wafanyabiashara wakubwaa. Kujenga mahusiano ya kudumu baina ya taasisi za serikali,na sekta binafsi miongoni mwa nchi wanachama. Watanzania kutoka Mikoa yote wanaalikwa kuchangamkia fursa hii kwa kushiriki kongamano ili kunufaika na fursa mbalimbali zitakazojitokeza ikiwa ni pamoja na kunadi fursa za uwekezaji na biashara za mipakani, kujifunza mbinu mpya za biashara na uwekezaji kutoka kwa washiriki sambamba na kutafuta wabia, masoko, mitaji na teknolojia mpya.

Kongamano linatarajiwa kuwa na washiriki zaidi ya na litaambatana na maonesho Exhibition ya bidhaa na huduma mbalimbali kutoka Tanzania, Burundi; DRC Kongo, Rwanda na Zambia. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig. Emmanuel Maganga leo amekutana na Bw. Rico ameeleza kuwa Medical Sans Frontiers MSF wataendelea kutoa misaada mbalimbali katika sekta ya afya ikiwemo kusaidia kupambana na Malari, kuangalia namna ya kusaida madawa pamoja na vitendea kazi katia Hospitali na vituo vya Afya Mkoani Kigoma.

Kwa upande wake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma ametoa shukrani kwa MSF kwa juhudi zao kubwa katika kuusaidia Mkoa wa Kigoma kwenyemasuala ya sekata ya Afya, amesisitiza kuwa Mkoa wa Kigoma utaendelea kutoa ushirikiano wakati wote ili kuhakikisha wananchi wa Mkoa wa Kigoma wanapata huduma bora za afya.

7 open spiral slide

Wakala wa Majengo Tanzania TBA wameonywa kuwa na tabia za ucheleweshaji wa kumaliza miradi mbambali wanayopewa na Serikali jambo ambalo linakwamisha utoaji wa huduma katika miradi hiyo kama ilivyokusudiwa. Serikali ilitoa fedha kwaajili ya ukarabati wa miundombinu kwa shule na vyuo vya zamani ambazo majengo yake na miundombinu ilikuwa imeshaakaa, kwa Mkoa wa Kigoma shule 1 ikiwemo Shule ya Sekondari ya Kigoam iliweza kupatiwa shilingi milioniambapo Mkandarasi Wakala wa Majengo Mkoani alipatiwa kazi hiyo.

Hata hivyo kumekuwa na kasi ndogo pamoja na utendaji usio wa kurishisha katika kufanya ukarabati wa miundombinu katika shule hiyo, kitendo ambacho kimefanya kuchelewa kukamilishwa kwa huduma muhimu kama vile vyoo, mabafu na mabweni. Hadi kufikia muda wa wanafunzi kurudi kuanza muhula mwingine wa masomo mwaka bado wakala wa majengo Mkoani Kigoma walikuwa bado hawajakamilisha ukarabati wa miundo mbinu ikilinganishwa na fedha mabayo tayari imekwishakutolea awamu ya kwanza shilingi milioni Hali hii inamtia hasira si Waziri wa Elimu peke yake bali hata Mkuu wa MKoa wa Kigoma ambapo walipofanya ziara ya kukagua kazi zilizofanywa, ikaonekana ni mchezo wa kuigiza.

mkuu wa mkoa kigoma 2019

Joyce Ndalichako alimwambia Meneja Wakala wa Majengo Mkoani Kigoma kuacha ubabaishaji na kuendana na kasi ya serikali ya awamu ya tano. Inaonekana meneja hujui kazi yako, haiwezekani tangu mwezi Agosti mpaka leo hii hakuna kazi ya kuonekana uliyokwisha imaliza, wanafunzi wanasiku tatu wafungue bado vyoo havieleweki, unacheza na maisha ya binadamu, hili halikubaliki katika serikali ya awamu ya tano alisisitiza Prof.

Naye Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brig.Saturday, February 16, Amesema iwapo viongozi hao hawataridhishwa na utekelezwaji wa mradi husika wasisite kuchukua hatua kwa kutoa taarifa katika ngazi huzika, lengo ni kuhakikisha miradi yote inakuwa na ubora na inalingana na thamani ya fedha iliyotolewa.

OFISI YA MKUU WA MKOA RUKWA

Ametoa maagizo hayo leo Jumamosi, Februari 16, wakati akizungumza na viongozi wa CCM, wabunge pamoja na baadhi ya viongozi wa mkoa wa Kigoma kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa ofisi ya CCM ya mkoa wa Kigoma. Waziri Mkuu ambaye pia ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Mlezi wa CCM mkoa wa Kigoma amesema ni muhimu kwa viongozi hao kujiridhisha na muenendo wa utoaji wa huduma mbalimbali za kijamii katika maeneo yao zikiwemo za afya, maji, elimu na kilimo.

Amesema CCM itaendelea kuimarisha misingi ya utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi, hivyo amewataka viongozi wa CCM pamoja na viongozi wa Serikali washikamane ili malengo ya kuwaletea wananchi maendeleo yatimie. Kadhalika, Waziri Mkuu amewasisitiza wanachama na wapenzi wa CCM wasome katiba ya chama na kuzielewa kanuni, taratibu na sera ili waweze kutekeleza majukumu yao ipasavyo.

Awali, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali Mstaafu, Emmanuel Maganga alisoma taarifa ya mkoa huo, ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia zoezi la kuwasaka wahamiaji haramu linaloendelea kwenye mkoa huo. Mkuu huyo wa mkoa amesema katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Desemba jumla ya wahamiaji haramu zaidi ya 4, walikamatwa kwenye msako uliofanyika katika maeneo mbalimbali ya mkoa huo.

Hotstar 2 states

Usikubali kupitwa na habari. Malunde 1 blog Ipo PlayStore Utasoma habari hata kama hauna MB. Bofya Hapa.

Borsalino donna con guarnizione in mohair |

Imechapishwa na Malunde at Saturday, February 16, All rights reserved.


thoughts on “Mkuu wa mkoa kigoma 2019”

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *